Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Diva akiendesha gari ya Dodge iliyotumika kwenye Fast and Furious
Mtangazaji huyo wa Wasafi media amejiita mtangazaji ghali zaidi Tanzania baada ya kupanda na kuendesha gari aina ya Dodge ambayo ilitumiwa na muigizaji Vin Diesel katika movie ya Fast and Furious.
“Hii gari Vin Diesel kutoka Fast and Furious aliendesha imagine Diva leo naendesha sio mchezo”
Mbali n ahili Diva ameeleza kuwa licha ya kuolewa lakini bado hajui kupika, usiku wa jana alinunuliwa chips na mume wake lakini mara nyingine huwa analeta chapati na maharage tunakula”
Interview nzima ipo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.Written and edited by @el_mando_tz