
@divatheebawse ameamua kutoa ya moyoni kuhusu aina ya maisha anayoishi na mume wake @sheikh_abdulrazak_salum
@divatheebawse anasema kuwa yeye ndio anahudumia kila kitu na mume wake anatoa asilimia ndogo sana ya huduma ndani ya nyumba.
@divatheebawse anauliza kama yeye ndio anahudumia familia hivyo je mwanaume ni nani kati yake na mume wake??
Mahojiano yote yapo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.