Diva: Diamond alinifungulia kesi akinidai bilioni 1.5 ila aliifuta, nilifurahi sana

Wakati anakaribishwa Mtangazaji huyo mpya wa #WasafiFm ameeleza kuwa @diamondplatnumz aliwahi kumfungulia kesi akimdai bilioni moja na nusu (1.5bil) na yeye akafungua kesi kama ile ile.

@divatheebawse ameeleza kuwa yeye hapendi mambo ya kesi na alikuwa anaumia sana kuitwa polisi lakini siku moja alipigiwa simu na mwanasheria wake akimwambia kuwa @diamondplatnumz ameifuta ile kesi @divatheebawse anasema alifurahi sana.

Tena kuna kipindi niliumwa akanipigia simu akaniuliza umepona..? Na nilipokutana naye nikamtajia vitu ninavyotaka hakutaka majadiliano aliniambia atanipa vyote.

Related Articles

Back to top button