Burudani

Diva: Diamond ananilipa mshahara mara tatu ya mwanzo na amenipa gari mpya

Mtangazaji mpya wa #WasafiFm @divatheebawse ameeleza kuwa kwenda Wasafi @diamondplatnumz amemlipa msharaha mara tatu na kupewa zawadi ya gari.

@divatheebawse hakuweka wazi analipwa mshahara wa kiasi gani lakini amesema kuwa @diamondplatnumz atakuwa anamlipa mara tatu ya mshahara wa mwanzo.

Akiongea wakati anakaribishwa @divatheebawse amesema kuwa amepewa gari ingawa hajasema gari ya aina gani.

@divatheebawse atakuwa anafanya kipindi cha #LaviDavi kupitia Wasafi amnacho kitahusu mambo ya mahusiano kama ilivyokuwa Cloudsfm.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents