Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Diva: Nimeolewa lakini sijui kupika, jana mume wangu ameninunulia chips na huwa ananunua chapati na maharage
Mtangazaji huyo wa Wasafi media amejiita mtangazaji ghali zaidi Tanzania baada ya kupanda na kuendesha gari aina ya Dodge ambayo ilitumiwa na muigizaji Vin Diesel katika movie ya Fast and Furious.
“Hii gari Vin Diesel kutoka Fast and Furious aliendesha imagine Diva leo naendesha sio mchezo”
Mbali n ahili Diva ameeleza kuwa licha ya kuolewa lakini bado hajui kupika, usiku wa jana alinunuliwa chips na mume wake lakini mara nyingine huwa analeta chapati na maharage tunakula”
Interview nzima ipo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.Written and edited by @el_mando_tz