Siasa
Diwani aliyepotea akutwa nyumbani kwa mwanamke Tabata
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa limefanikiwa kumpata Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyedaiwa kupotea Mei 19, 2022 akiwa nyumbani kwa Ashura Ally Matitu maeneo ya Tabata darajani.