Bongo5 ExclusivesBurudaniMahojiano

DJ Joozey: Nampenda sana Harmonize, amenisaidia sana

DJ Joozey ameeleza sababu za kutengeneza clip maalumu kwa ajili ya Harmonize baada ya kufanikiwa kupanda Mlima Kilimanjaro na kupiga muziki juu kwa muda wa dakika 15.

DJ Joozey amesema kuwa amefanya hivyo kwa upendo alionao kwa Harmonize kwa amemsaidia sana kwenye maisha yake, mbali na hilo yeye ni shabiki mkubwa sana wa msanii huyo.

Ameongeza kuwa mpaka sasa wana collabo na Harmonize ambapo wana goma mbili na muda sio mrefu ziatoka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents