Mahojiano

DJ wa Burna boy, Rema Tanzania Jozzey, DJ’s wa Tanzania hatupendani ndio maana hatufanikiwi (+ Video)

Akiongea na Bongo5 DJ huyo ambaye anafanya vizuri kwa sasa Tanzania @djjoozey ameeleza namna alivyofanikiwa kukutana na wasanii wakubwa kutoka nchini Nigeria na mataifa mengine ambao walikuwa wanakuja kufanya show Tanzania.

Mbali na hilo ameweza kuwashauri DJ’s vijana kufanya kazi licha ya kufanyiwa fitna na DJ’s wakongwe ambao amedai hawapendi kuona wanafanikiwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents