HabariSiasa

Dkt. Abbas katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemhamisha Dkt. Hassan Abbasi, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents