Siasa
Dkt. Angelina Mabula Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Rais, Samia Suluhu amemteua Dkt. Angelina Mabula kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.