Habari

Dkt Cheni Atangaza Kuwapatanisha Diamond na Alikiba (Video)

Katika  mahojiano na waandishi wa habari  Mwigizaji maarufu na Mshereheshaji Mc Dkt Cheni amefunguka kuwa kama Daraja kwenye kuwapatanisha watu na wadau mbalimbali waliogombana na hii ni baada ya kueleza kwamba yupo tayari kuwapatanisha Diamond na Harmonize endapo watamfata huku akitolea mfano kwa waigizaji Samufi na Mkojani

Mbali na hilo @mcdrcheni ameibuka kidedea kwenye tuzo za Tanzania Event Planners Awards kama Mc bora wa miaka yote

Video nzima ipo katika Youtube channel yetu ya Bongo5

Written by @abbrah255 and @el_mando_tz

Written by @abbrah255

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents