Siasa
Dkt Mashinji atambulishwa rasmi CCM Asema “Chama pekee ambacho kipo tayari kuiongoza Tanzania ni CCM sina shaka na hilo” – Video
Dkt Mashinji atambulishwa rasmi CCM Asema "Chama pekee ambacho kipo tayari kuiongoza Tanzania ni CCM sina shaka na hilo" - Video
Maneno ya aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji wakati akitambulishwa rasmi kuwa mwanachama halisi wa Chama cha Mapinduzi CCM mbele ya mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pambe Magufuli. “Chama pekee ambacho kipo tayari kuiongoza Tanzania ni CCM sina shaka na hilo”
By ALLY JUMA.