Michezo

Dkt Mo: Simba tutaidhalilisha JKT leo hii, watu hawajui yanayoendelea ndani

DR MO: JKT TUTAWAPIGA GOLI TATU LEO HII

Shabiki wa klabu ya simba maarufu kwa jina la Doctor Mo ametamba siku ya leo kwa kuitwanga JKT Tanzania katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Dar es Salaam.

 

JE, UNAMUONA MNYAMA AKIANGUSHA ALAMA MBELE YA JKT??

Siku ya leo wadau wa soka nchini wanasubiri kwa hamu kubwa sana mchezo wenye ushindani mkubwa sana katika Ligi Kuu Tanzania bara kati ya Simba dhidi ya JKT Tanzania, haijawahi kuwa mchezo mwepesi miamba hiyo ikikutana.

 

Kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongo5

 

 

 

 

Imeandikwa na kuandaliwa @witnessflavian24 & @johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents