Michezo
Dodoma Jiji wakutwa na Mikosi
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeuondoa uwanja wa Jamhuri Dodoma katika orodha ya viwanja vinavyotumika kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC msimu huu kutokana na Eneo la kuchezea (pitch) la uwanja huo kukosa ubora ambapo sehemu kubwa haina majani ya kutosha.