Doris Mollel kwa RC wa Mbeya msaada wa watoto njiti
Hospitali ya Rufaa Mbeya yapatiwa msaada kusaidia watoto njiti wa vifaa tiba vya milion 13 kutoka kwa Tasisi ya Doris mollel foundation.
Mkuu wa mkoa wa mbeya @jumahomera Akipokea vifaa tiba kutoka kwa Doris Mollel foundation (DMF) Daktari bingwa wa watoto na Mkuu wa Idara ya magonjwa ya watoto, Dk Alinanuswe Kasililika amesema leo Jumatano Februari 22, 2023 mara baada ya Mkuu wa Mkoa, Juma Homera kukabidhi vitanda sita na mashine mbili za Oxygen vilivyotolewa na Taasisi ya Doris Mollel foundation vyenye thamani ya Sh13 milioni.
Doris Mollel amekabidhi vifaatiba vyenye thamani ya shilingi milioni 13 ambavyo vimetolewa na mfuko wa Doris Mollel ili kusaidia watoto njiti wanaozaliwa na akina mama katika hospitali za mbeya wanatunzwa vyema na kuwa na afya bora.
Mkuu wa mkoa wa mbeya juma homera ameipongeza Taasisi ya Doris Mollel inayoongozwa na Bi @dorismollel kwa kuendelea kusaidia jamii ya Watanzania katika masuala ya uzazi na kuwataka watanzania wengine na Taasisi mbalimbali nchini kuwa wazalendo na kujitoa kusaidia jamii Taasisi ya Doris Mollel imekuwa ikijishughulisha na kusaidia Huduma za uzazi na matunzo ya Watoto njiti na tayari wamekwisha zunguka Maeneo Mbalimbali nchini.
Mbeya. Uhaba wa vitanda vya watoto njiti katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya umesababisha watoto wawili kulazwa kitanda kimoja hali ambayo inaweza kusababisha kupata magonjwa ya kuambukizwa.
Daktari bingwa wa watoto na Mkuu wa Idara ya magonjwa ya watoto, Dk Alinanuswe Kasililika amesema leo Jumatano Februari 22, 2023 mara baada ya Mkuu wa Mkoa, Juma Homera kukabidhi vitanda sita na mashine mbili za Oxygen vilivyotolewa na Taasisi ya Doris Mollel foundation vyenye thamani ya Sh13 milioni.
Dk Alinanuswe amesema kuwa wastani kwa wiki wanapokea watoto njiti watano mpaka nane huku kwa mwezi idadi inafikia watoto 25 mpaka 50 jambo ambalo ni changamoto kubwa katika kitengo hicho.
Haya ni maelekezo ya Tuliatrust_org kwa Taasisi ya Doris Mollel foundation kuja mkoa wa mbeya