Burudani
Dotto Magari amkingia kifua Harmonize sakata la kwenda Kanisani

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo @dotto_magari amegusia swala la msanii @harmonize_tz kwenda kanisani kuombewa ambapo katika hilo Dotto amesema “pale hajakosea amefata neno la Mungu maana mtu akifa anazikwa na dini zote “
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5
Written and edited by #abbrah255 and @el_mando_tz