Burudani
Dotto Magari “maneno ya mwijaku hayaniumizi”

Katika mazungumzo na Bongo5 tv @dotto_magari amefunguka kuhusu maneno aliyosema @mwijaku kwamba maisha yake yamejawa na laana za watu aliowakaba ambapo katika hilo Dotto amegusia video aliyotumiwa ya Mwijaku akiwa kwenye ndege huku akisema maneno yake hayamuumizi na zile zilikuwa changamoto tu
Video nzima katika akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by @abbrah255 & @Johnbosco_mbanga