Moja ya Tovuti moja kutoka nchini Marekani ilipost kuuliza watu uasili wa rapa wa muziki kutoka nchini Canada #Drake.
Katika post hiyo ambayo iliweka mataifa matano ya Afrika na mataifa matatu ya Ulaya kuuliza asili ya Drake ni taifa gani.
Asilimia 30 imepiga kura na kusema kuwa Drake ana asili ya Nigeria taifa ambalo lipo Afrika huku asilimia Cameroon, Congo.
Taifa linaloongoza kutoka Ulaya ni Uingereza ambapo ilipata asilimia 8 tu.
Baada ya hicho Drake amepost Insta Story yake na kuuliza kuwa inawezekana baba yake akawa raia wa Nigetia??