Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Drake amtambulisha mpenzi wake kwa mara ya kwanza ‘KIKI’

Staa wa muziki kutoka nchini Canada Aubrey Drake Graham alimaarufu kama Drake amueamua kumtambulisha mpenzi wake rasmi anayejulikana kwa jina la Keshie Chante alimaarufu KIKI.

Drake alimtambulisha mpenzi wake huyo mbele ya umati wa watu kwenye ukumbi wa Toronto History, Alhamisi usiku (Julai 28) katika tamasha lake la All Canadian All Stars, Drake aliwaambia mashabiki:

 

“This next person coming to the stage, I used to get in my mom’s car I used to drive all the way to the west for this donna right here, you feel me? So I have to personally introduce her.”

Aliongeza: “This is my first girlfriend I’ve ever had in my life coming to the stage. A real legend, somebody I love with all my heart, make some noise foe Keshie Chante KIKI”

“Huyu anayekuja jukwaani ni mpenzi wangu wa kwanza kuwahi kuwa naye katika maisha yangu . Hadithi ya kweli, mtu ninayempenda kwa moyo wangu wote” alimaliza Drake.

Keshie Chante ni mzaliwa Ottawa nchini Canada Mwimbaji , mtangazaji wa televisheni, mwigizaji na pia mtunzi wa nyimbo

 

Related Articles

Back to top button