Burudani

Drake aweka rekodi ya kuingiza ngoma tisa kwenye BILLBOARD HOT 100, rapa Lil Durk amnyanyulia mikono

Baada ya Drake kuweka rekodi ya ngoma zake tisa kukaa lwenye top ten ya BILLBOARD HOT 100 rapa Lil Durk amependezwa na kujivunia alichofanya Drake,sasa rapa Durk aliamua ku-post kwenye instastory yake na kuandika”A REAL GOAT NOT NO CAP”

Drake amevunja rekodi ambayo hapo awali ilikuwa inashikiliwa na kundi la The Beatles ambapo Lilifanikiwa kuingiza ngoma zao tano na kukaa kwenye top ten ya BILLBOARD HOT 100,Kwa mwaka 2021 Drake ndio amekuwa kinara Kwa kuingiza ngoma zake tisa na baadhi ya ngoma hizo ni, WAY 2 SEXY Ft Future na Young Thug, GIRLS WANT GIRLS Ft Lil Baby,FAIR TRADE Ft Travis Scott, na LOVE ALL Ft Jay Z.

Related Articles

Back to top button