Droo kubwa ya TECNO Twenzetu Camping kistaa na CAMON 17 kufanyika wiki ijayo

TECNO inawakumbusha wanafamilia wa TECNO promotion ya Twenzetu camping kistaa bado inaendelea na zawadi kutolewa na msanii maarufu Elizabeth Michael 15/6/2021.  Zawadi zitatolewa kwa wateja wa TECNO Camon 17 tu nazo ni ticket ya kwenda kushuhudia maajabu ya mbuga za Wanyama Tanzania na Fridge, Drones, King’amuzi cha DSTV na nyenginezo. Zawadi bado ni nyingi sana TECNO inawataka watanzania wote kununua TECNO Camon 17 kipindi hiki ili kutimiza lengo la kwenda kutembelea Mbuga za Wanyama wa wateja wake wote.

 

TECNO imepanga kuendelea kuwapa raha wateja wa TECNO kupitia simu bora zenye teknolojia ya kisasa kwa bei rafiki. TECNO Camon 17 pro ni toleo jipya la series ya TECNO Camon ambayo uwekezaji wake mkubwa umewekwa kwenye Camera. TECNO Camon 17pro ina sifa yakutoa picha zenye rangi halisi na kurecord video kwa ubora wa hali ya juu Camon 17 pro inayafanya haya kwa teknolojia ya AI Camera yenye MP48 4K video resolution mbele na MP64 yenye Black and white mode kwajili ya kuchukua filamu.

TECNO haikupatii tu simu nzuri lakini pia inakufanya uendelee kuwa karibu nao kupitia ofa mbalimbali kama hii ya TECNO Super Friday. TECNO inakukaribisha uwe miongoni mwa wanafamilia wa TECNO watakaonde kushuhudia maajabu ya Mbunga zetu za Wanyama kwa kununua TECNO Camon 17 pro. TECNO Camon 17 pro inapatikana katika maduka yote ya simu nchini Tanzania na ofa ya GB78 za Tigo.

Kufanya Agizo la mtandaoni  Tembelea https://bit.ly/2Th4urd

Related Articles

Back to top button