FahamuHabari

Dubai yatajwa kama sehemu maarufu zaidi ya kutembelewa na Trip Advisor

Kwa mujibu wa tuzo za mtandao mkubwa zaidi wa masuala ya usafiri duniani Trip Advisor zinazoitwa Travellers’s choice Awards, Dubai ndio sehemu ya kwanza na maarufu zaidi inayoshauriwa kutembelewa kwa mwaka 2023.

Washindi wa tuzo hizi waliangaliwa kutokana na ubora na wingi wa komenti kutoka kwa watalii pamoja na ukadiriaji uliofanywa na watalii mbali mbali. Hii pia imehusisha mara ngapi watalii wameulizia hoteli,migahawa n.k katika mtandao huo juu ya Dubai.

Sehemu nyengine maarufu zaidi za kutembelewa kwenye top 10 ya chati hizo ni pamoja na Cancun (Mexico), Greek, Mororcco, Dominican Republic na Istanbul (Uturuki)

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents