Burudani

Dula Makabila afunguka sababu za kutokuwa karibu na Diamond

Kwenye Mahojiano yake na @el_mando_tz kupitia B4THEFAME @dullamakabila amejibu kuhusu kutokuwa karibu tena na @diamondplatnumz haliyakuwa alikuwaga rafiki yake.

Anasema hata yeye alishangaa ghafla ukaribu wao unapungua hajui sababu ni nini, mbali na hilo Dulla amejibu kuhusu Kauli ya D Voice kuhusu wasanii wa Singeli.

Mahojiano yote yapo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents