BurudaniMahojiano

Dulla Makabila afunguka mazito kuhusu ndoa zake(Video)

Dulla Makabila ajibu kuhusu ndoa zake kuvunjika mara kwa mara kila anapooa, amesema sio kwamba anapenda kuoa bali anapenda mke na sio ndoa.

Pia Dulla Makabila ameweka wazi sababu ya hitaji la mke katika maisha yake, amesema kuwa anahitaji mke kwasababu ya kutunzwa na mwanamke.

Dulla Makabila ameweka bayana kuwa anapenda akirudi kutoka kazini akute maji ya kuoga, kama katoka kuamka akute akute chai na vitu vingine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents