Dulla Makabila kupitia mahojiano aliyofanya na @bongo5tv ametamba kwa kujiita mfalme na kutaja vigezo ambavyo ukitaka kujiita mfalme lazima uwe navyo.
Moja ya kigezo alichotaja na kutoa nyimbo kubwa lakini pia nyimbo anazotoa zinakaa on trending katika mtandao wa YouTube kushinda Bongo flava.
Lakini kigezo kingine amegusia swala la kipato lakini pia amegusia swala la Mganga mzuri, mfalme lazima awe na mganga mzuri.
Full interview ipo Kwenye YouTube channel yetu ya Bongo5 tv