Burudani
Dulla Makabila awapa maua TIT4TAT wa Tic Toc

Mpaka sasa maelfu ya Watanzania na wadau mbalimbali wa maswala ya mitandao ikiwemo Tic Toc wamekuwa wakifurahishwa na maudhui yanayotengenezwa na Kundi hili ambapo maudhui yao yamejikita katika kuilimisha Jamii shuhudia Msanii Dulla Makabila alivyowapa maua kundi hili. @bestphototz