BurudaniMahojiano

Dully Sykes atamba kuwapiga block wasanii wakubwa(Video)

Msanii mkongwe wa muziki BongoFleva @princedullysykes amefunga mengi katika mahojiano aliyofanya na @bongo5tv ambapo moja ya kitu alichoweka bayana na kuhusu kuwablock vijana (wasanii wapya) ambao wanakuwa hawamuheshimu.

Mkongwe huyo ambaye ameachia wimbo mpya wiki hii SuperStar, amedai katika kuepuka stress kutokana na dharau za vijana ameona kwake kublock wasanii kama hao ndio solution.

Moja wasanii Wakubwa ambao alishawahi kuwapiga block ni Ali Kiba na Harmonize huku Diamond kamuambia amtafute ili aone kama kala block au laa!

Full interview ipo Kwenye YouTube channel yetu ya BongoFive

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents