Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Dully: Watanzania tunakwama wapi, eti Mlima Kilimajaro na Kiswahili vya Kenya

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mkongwe huyo wa muziki wa Bongo Fleva @princedullysykes ameandika kuwa:
“Hivi nchi yetu inakuwaga wapi kwenye kuuyangaza mlima Kilimanjaro..! Asilimia 70 ya watu wa nchi mbalimbali wanajua mlima upo Kenya!! Daaah sijui tunakwama wapi mpaka Kiswahili wanajua kinatokea Kenya”

Kwa kauli hii ya @princedullysykes wewe unahisi Watanzania wanakwama wapi ..??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents