Michezo

Edo Kumwembe amchana Feitoto

“Kwa sasa John Bocco anafahamu. Sure Boy anafahamu. Shomari Kapombe anafahamu. Erasto Nyoni anafahamu. Gadiel Michael anafahamu. Aishi Manula anafahamu. Hata Prince Dube ameanza kufahamu. . Tatizo la Azam ni nini? Watu wamekuwa wakiulizana. Sina jibu lakini naweza kukisia kwamba kuna kitu kisichoelezeka sawa sawa kinakosekana Azam. Labda zinakosekana hisia kali fulani kwa kila anayehusika pale Azam. . Azam hawatembei na madeni ya hisia za watu? Labda. Ndiyo, labda.

Wana kila kitu. Uwanja wa kisasa, kambi za kisasa, usafiri wa kisasa, pesa na kila kitu. kwanini watolewe na APR kirahisi namna hii? Wamewekeza pesa nyingi kuliko APR, kwanini watolewe na APR kirahisi namna hii?” — Edo Kumwembe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents