Michezo
Edo Kumwembe – Simba Uwanja wa Mkapa ni wao
“Simba walimaliza kazi huku kila mtu akibaki na mdomo wazi. Kama ilivyo kawaida yao. Simba Uwanja wa Mkapa ni wao. Ni katika mechi za kimataifa.
Zipo jioni chache ambazo waliwahi kukosea, lakini hii ilikuwa miongoni mwa siku ambayo hawakupaswa kukosea. .
Al Ahli Tripoli walikuja katika ardhi ya Tanzania kama timu tishio kutoka Afrika Kaskazini.“