Michezo
Edward Manyama awakataa Azam FC

Baada ya kumaliza mkataba wa kuitumikia Azam FC, kiraka Edward Charles Manyama anatarajia kutimkia Singida Black Stars tayari kwa kukipiga huko msimu ujao.
Manyama amemalizana na Singida Black Stars kwa kusaini kandarasi ya miaka miwili yenye signing fee ya Sh 80 milioni.