
Mkurugenzi Wa Masoko Bwana @sseboefm Rasmi Ameizindua Rasmi Kampeni Kubwa Ya Mwanamke Wa Shoka Kwa Mwaka 2025, Mwanamke Wa Shoka 2025 Tunasema “Zidisha Spidi”
Tupo LIVE Kupitia @tvetanzania Pamoja Na Kwenye YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )
Imepewa Nguvu Na @selcomtanzania @vodacomtanzania
Kuangalia Video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongo5