Michezo
ELie Mpanzu akubali kutua Simba

ELIE MPANZU UPDATES – Winga Elie Mpanzu ameshakubali kujiunga na klabu ya Simba kuelekea msimu ujao na mpaka sasa maongezi yapo hatua za mwisho kati ya Mabosi wa AS Vita na Raisi Mo Dewji. – Mambo yaliyobaki ni masuala ya kifedha tu kuhusu klabu ya AS Vita kumuachia Mpanzu.