
Chelsea hapo jana ilikamilisha usajili wa kiungo wa Benfica, Enzo Fernandez
Enzo Fernandez amevunja rekodi kwenye historia ya usajili wa Premier League kwa dili lenye thamani ya paundi milioni 107
Kinda hilo la Argentina (22), usajili wake wa kutua Stamford Bridge umevunja rekodi iliyokuwa ikishiliwa na Jack Grealish alipojiunga na Manchester City kwa dau la paundi milioni 100 mwaka 2021.
Kwa Upande wake Lionel akimzungumzia muargentina mwenzake amesema “Sishangazwi na Enzo, namfahamu na nimekuwa nikimuona akifanya mazoezi kila siku. Anastahili kwasababu ni mchezaji wa kuvutia.”
Credit by @fumo255