BurudaniHabari

EP ya Mashine Tatu yazinduliwa Dar

Lony Bway awaonjesha mashabiki Umeniziba

Msanii wa muziki @lonybway ameachia rasmi EP yake Mashine Tatu ambayo kwa sasa inapatikana kwenye mitandao ya kijamii.

Uzinduzi huo umefanyika High Spirit usiku wa kuamkia leo na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali wa muziki.

Muimbaji huyo alipata fursa ya kuwaimbia mashabiki zake nyimbo hizo ambapo katika video hii alikuwa akiimba wimbo ‘Umeniziba’.

Kwa sasa EP hiyo inapatikana kupitia link zilizopo kwenye bio yake @lonybway pamoja na @dreamcash__

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents