Bongo5 ExclusivesBurudaniMahojiano
Esma Platnumz bora atembee na Alikiba ila sio Harmonize – Juma Lokole
Baada ya ukaribu kuongezeka kati ya Dada yake na @diamondplatnumz @_esmaplatnumz na @_esmaplatnumz @el_mando_tz amemuuliza @jumalokole20 kitu gani kinaendelea kati ya hao wawili.
@jumalokole20 amemjibu @el_mando_tz kuwa wale hawajawahi kugombana na haiwezi kutokea @_esmaplatnumz na @harmonize_tz wakawa kwenye mahusiano ya kimapenzi na kama ikitokea yeye atakata undugu na @_esmaplatnumz
@jumalokole20 anasema kuwa kama ikitokea @_esmaplatnumz amekuwa na mahusiano na @officialalikiba yeye atafurahi sana.