Michezo

Exclusive: Creez Flavors afunguka mkasa wake na Pedri wa Barcelona

CREEZ FAVORS: PEDRI ALISHUKA KWENYE NDEGE KWA AJILI YANGU

Mtengeneza maudhui katika upande wa mpira wa Miguu @creez_favors akiwa na mahojiano na Bongofive amefunguka mara yake ya kwanza kukutana na mchezaji wa Barcelona Pedri, anadai kuwa ni zaidi ya heshima Pedri alimuonyesha.

Je, ukipata nafasi ya kukutana na Staa wa timu kubwa Ulaya nini utafanya cha kwanza??

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube bongofive

 

 

 

 

 

Imeandaliwa na @witnessflavian24

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents