Michezo

Exclusive: Creez Flavors afunguka sababu ya kuzikataa Simba na Yanga

CREEZ FAVORS ATOBOA SIRI YA KUZIKATAA SIMBA NA YANGA

Mtengeneza maudhui katika upande wa mpira wa Miguu @creez_favors akiwa na mahojiano na Bongofive amefunguka kwa mara ya kwanza sababu ya kutokuziongelea Simba na Yanga katika kurasa zake za mitandaoni.

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube bongofive

 

 

 

 

Imeandaliwa na @witnessflavian24

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents