HabariMichezo

Exclusive: Mfahamu anayedaiwa kuwa msemaji mpya Yanga (+Video)

Baada ya Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli kuhitimisha safari yake ndani ya timu hiyo kumekuwa na maneno kwenye mitandao yao ya kijamii ikimuhusisha mwandishi mkongwe, Tajilihundi kuhusishwa na kuchukua kijiti cha Bumbuli huku Haji Manara akiwa yupo kifungoni kwa miaka miwili kwa utovu wa nidhamu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents