Burudani

Exclusive na Dr Kumbuka: Mke wa ndoa, Baba wa watoto 5 (Video)

kumiliki nyumba 5 Dar, ajinunulia Range Rover mpya

Bongo5 wiki hii imefanya mahojiano na MC na Mtangazaji mwenye mafanikio @drkumbuka_majaliwa ambapo amefunguka mengi usiyoyajua kuhusu maisha yake.

Amefunguka kuhusu ndoa yake, pamoja na familia ya watoto 5 ambapo mtoto wake wa kwanza yupo kidato cha nne.

Amesema mengi anayoyafanya mtandaoni yanawashangaza watoto wake.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button