Exclusive: Nay wa Mitego aelezea jinsi performance yake ya leo Mbagala ilivyosababisha vurugu

Show ya Airtel Yatosha iliyofanyika Mbagala Zakhem, Temeke jijini Dar es Salaam imelazimika kuishia njiani baada ya kuzuka vurugu kubwa.

30547_355417444569946_516221525_n

Fujo hiyo ilianza baada ya Nay kurusha nguo zake na mkanda wake kuwatupia mashabiki walioanza kuugombania. Vurugu hizo zimesabisha watu kuumia na wengine kuibiwa.

Msikilize hapa.

Related Articles

Back to top button