Habari

Exim Bank kukabiliana na afya ya akili, Tsh 300 Mil. zakusanywa

Katika kuliona hilo kufuatia tamasha lililoandaliwa na Exim Bima Festival ambalo limefanyika katika viwanja vya Gymkhana, Posta, Exim Bank kushirikiana na wadau wengine wamechangai Tsh 300 Milioni katika miaka tatu ijayo fedha hizo zisaidie watu wenye matatizo ya akili.

video-output-B61FA4E0-CCDA-496C-8E03-A0910D95D09D

Mh. Ridhiwani Kikwete, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Cihana, Ajira na Wenye Ulemavu) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo ameomba wadau wengine waige mfano wa Exim Bank wawe na tabia ya kurudisha kwa jamii.

Aidha Mh. Ridhiwani ameshtushwa na takwimu za kuwa kati ya watu wanne basi mmoja ana matatizo ya akili hivyo ametoa wito kwa mwenye uwezo kupambana na ugonjwa huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents