Fahamu sifa za Phantom X, William Motta afunguka  (+Video)

Marketing Manager wa TECNO Tanzania, William Motta ameelezea baadhi ya sifa zinazopatikana kwenye simu hiyo ya PHANTOM X iliyozinduliwa Al hamisi hii kwenye ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar Es Salaam.

Related Articles

Back to top button