Habari
Fahamu simu yako inahusika vipi na Mgogoro wa DRC??

Kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya simu yako ya mkononi kuna kiasi kidogo cha chuma kilichoanza safari yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako vita vinaendelea hivi sasa.
Tantalum iliyo ndani ya kifaa cha simu na vifaa vifaa vingine vya kielekroniki hutokana na madini ya Coltan ambayo kwa kiasi kikubwa yanatoka mashariki kwa DRC. Katika kipindi cha mwaka uliopita, M23 imeteka kwa haraka eneo lenye utajiri mkubwa wa madini hayo.\
cc: BBC Swahili