Burudani

Fatma Karume akemea fujo zilizofanyiwa zuchu Mbeya

Wakili wa kujitegemea @fatma_karume ametumia ukurasa wake wa ‘X’ kukemea suala la fujo zinazofanywa na mashabiki wa burudani kwa wasanii wao hususani tukio alilofanyiwa Mwimbaji @officialzuchu baada ya kutupiwa vitu juu ya steji.

Kupitia ukurasa wake ameandika kuwa, “Inahuzunisha sana,
Mnakwenda kustarehe halafu mnatupa chupa kwa muimbaji. Something very wrong with the aggression in this society. Kuna wakati want to give up.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents