Feitoto ametoa tasmini yake kuhusu na Simba na Yanga kwenye mechi zao za kimataifa za ligi ya Mabingwa barani Afrika akisema Yanga wapo na kiwango Bora timu Yao nzuri inaweza kushinda maana wana kikosi Bora.
Pia Simba wanaweza kushinda maana pia wana timu nzuri lakini akigoma kutoa sababu kwanini anafikiri Simba imeshuka kiwango tofauti na Misimu ya Nyuma.


