Hatimaye msanii wa muziki Ommy Dimpoz amekiri kwamba Mzee Nyembo ni baba yake mzazi ila walitelekezwa na Mama yake.
Muimbaji huyo amedai ametoa ujumbe ili uwe funzo kwa wazazi wengine kuacha kuwatelekeza watoto.
Mzee huyo ambaye ni dereva Bajaj yupo Sumbawanga.