Burudani

Fiokee auanza mwaka kwa Albamu yake ya ‘MAN’ msanii Maua Sama ndani

Baada ya Miongo mingi ya Utayarishaji wa muziki, kurekodi, Na kupiga gitaa katika Nyimbo nyingi za wasanii wa Afrika, Fiokee ameuanza mwaka kwa kuachia Albamu yake “MAN” akimshirikisha msanii kutoka Tanzania “MAUA SAMA , Yemi Alade Ni miongoni mwa wasanii walioshirikishwa.

MAN, Fiokee amedhihirisha kuwa yeye tu sio mpiga gitaa bali anaweza kufanya Vitu vingi ingawa pia Ni mtayarishaji mzuri wa muziki.

Albamu hii ya Fiokee inaonyesha Ni kiasi gani Ana uwezo wa kutengeneza muziki mzuri unaoweza kuishi, na ameitoa albamu hii Kama Zawadi kwa mashabiki katika Huu mwaka anaotimiza miaka 40 ya kuzaliwa.

Unaweza kuisikiliza sasa kupitia Platforms zote zinazouza na kusikiliza muziki Duniani,

Related Articles

Back to top button