HabariMichezo

Fiston amtangulia Moses Phiri

Mbali na ushindi wa Yanga wa goli 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania lakini mshambuliaji wa Young Africans Sports, Fiston Mayele amefunga goli lake la 11 na hivyo kumtangulia kwa bao moja nyota wa Klabu ya Simba, Moses Phiri mwenye jumla ya magoli 10.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents