Habari

Flaviana Matata anawajali wanafunzi wa kike, aja na suluhisho la taulo za kike (+ Video)

Leo @flavianamatata ametangaza kuingia ushirikiano na kituo cha habari cha East Africa Television kupitia kampuni yake ya Flaviana Matata Foundation kupitia kampeni ya NAMTHAMINI kwa mwaka 2021.

Kampeni hiyo ikilenga la kuchangisha taulo za kike (Pedi) kwa wanafunzi wenye uhitaji Shuleni. hii ni baada ya Tafiti nyingi kuonyesha wanafunzi wa kike wengi nchini hukosa masomo kutokana na ukosefu wa taulo za kike wanapokuwa katika siku zao za hedhi. Akieleza @flavianamatata

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents